Tuesday, September 09, 2014
 |
Msanii wa Bongo Movies, Fatuma
Ayubu ‘Bozi’ aliyewahi kuripotiwa
kujiachia kimahaba na mwanamuziki
Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’
ametia aibu kubwa baada ya picha
zake za utupu kuzagaa mitandaoni.
Kutokana na picha hizo ambazo
zimeonekana kuzagaa katika
mitandao mbalimbali na kuacha
viulizo kwa wasanii wengi
wanaomfahamu, mwandishi wetu
alimtafuta Bozi ambaye alionekana
kutafunatafuna maneno na kumtupia
lawama nzito Nay wa Mitego ambaye
aliwahi kumtumia picha hizo
walipokuwa wapenzi.
alisema msanii
huyo.
“Mungu wangu sijui nitaweka wapi
sura yangu, nilishtuka sana baada ya
kuona picha hizo ni aibu kubwa
kwangu, nashindwa hata kuelewa
zimesambaa vipi maana hizi picha
alikuwa nazo Nay, nilimtumia kabla
hatujaachana sasa hata yeye
namuuliza anasema hajazisambaza |
0 comments:
Post a Comment