Tuesday, September 09, 2014
 |
Ngoma nzito kauli ya sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac
Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kuwa
yupo tayari kumtumikia msanii
mwenzake Kajala Masanja ‘K’
kwenye kampuni yake ya KAY
Entertiment tena bila malipo yoyote,
imetafisiriwa kuwa ni kejeli.
NGOMA nzito!
Sexy lady wa sinema za Kibongo,
Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful
Onyinye’
Hivi karibuni Wema alikaririwa
akisema: “Nakubali kwamba Kajala
anaweza kuwa na maisha mazuri ya
kiasi hicho na akanifanya mfanyakazi
wake katika kamusi yake kwa sababu
sioni cha kumfanya ashindwe kuwa
hivyo, naamini anaweza kuniajiri na
wala sina kipingamizi! hahahaa!”
Msanii wa Bongo Movie Kajala
Masanja ‘K’.
Baada ya kauli hiyo ya Wema,
mashabiki wake waliikataa kwa
maelezo kuwa alilenga kumkejeli
Kajala ambaye awali aliwahi
kumwajiri kwenye kampuni yake ya
Endless Fame Production. |
0 comments:
Post a Comment