Thursday, September 04, 2014
 |
Jaja akishangilia baada ya kufunga na chini
akipongezwa na wenzake |
 |
Toa Jaja huyooo; Shabiki aliyenyoosha mkono
alipiga yowe la kutaka Geilson Santana Santos
'Jaja' atolewe kipindi cha kwanza. Lakini Mbrazil
huyo ndiye aliyeifungia bao pekee Yanga SC leo
dakika ya 58. |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment