Thursday, September 04, 2014
 |
MWANASOKA Bora wa Dunia, Cristiano
Ronaldo amesema kwamba Manchester United
ni klabu ambayo ipo moyoni make na
anatamani siku moja are jee kucheza tena.
Mchezaji huyo wa Real Madrid na Ureno
ameweka wazi "MaipendaI Manchester," na
kuongeza;
"Kila mmoja anajua hilo — nimesema hivyo
mara nyingi. Manchester ipo moyoni mwangu.
Nimeacha marafi wengi huko, mashabiki
wanavutia sana na ninatamani siku moja
ningerudi,". |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment