Tuesday, September 09, 2014
 |
New gossip zinasema kuwa star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto pia Lulu Elizabeth Michael hadumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa nae.Inadaiwa Lulu hataki mchezo mwanaume akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti. Inadaiwa kuwa hivi miezi ya karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi akamwaga na baada ya muda akawa anatoka na tajiri mmojakijana wa madin toka Arusha lakini tajiri huyo alinyoosha mikono juu baada ya Lulu kama kawaida kuruhusu majeshi yake yam-control jamaa huyo. Chanzo kimoja kikizungumza naSanikilisema "\"Ni mtu mwenye isirani kwa wanaume, hadumu nao, wengie wanaokuwau nae ni wale wavumilivusana, nadhani ana matatizo ambayo yanahitaji mtaalam wa saikolijia ya mahusiano, akizinguliwa tu hachelewi kuvnja simu na kurejesha kila kitu alichokuwa amepewa" kilisema chanzo hicho kilichodai ni mshikaji wa karibu na Lulu. |
0 comments:
Post a Comment