Wednesday, September 24, 2014
 |
Wakati Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka
kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo
weekend hii ni Mbeya na Songea,
ametangazwa msanii wa kimataifa ambae ni
rasmi atapanda kwenye stage ya Fiesta Dar es
salaam October 2014 Leaders Club Kinondoni.
Rapper T.I ndio msanii wa kimataifa kwenye
stage ya Fiesta October 18 2014 akiwa ni mkali
ambae kwa sasa anamiliki chati za muziki kwa
single yake ya No Mediocre |
0 comments:
Post a Comment