Monday, September 22, 2014
 |
Kihistoria, Diamond na Alikiba ni wadogo zake
Mr Blue. Wakati Mr Blue anatamba na ngoma
zake ikiwemo Mapozi, hakuna aliyekuwa
akiwafahau wawili hao.
Na kuna wakati Blue aliwahi kusimulia namna
alivyokerwa na tabia ya Diamond ya kutembea
na ex wake akiwe Wema na Najma. Hata Hivyo
rapper huyo wa Pesa, amesema anawakubali
wote Alikiba na Diamond na wote ni washkaji.
“Unajua mie wale wote washkaji zangu nawala
sina tatizo nao kwahiyo nipo tayari kufanya
kazi na yeyote yule ambaye atakuwa tayari si
unajua hii kazi na kazi mkishirikiana pamoja
ndo inakuwa nzuri zaidi,” Blue ameiambia
Bongo5.
Akizungumzia kuhusu video, rapper huyo
amesema anatarajia kutoa video mbili kwa
pamoja.”Nimeshaulizwa sana kuhusu natoa
video lini. Jibu sasa lipo tayari kwa mashabiki
wangu. Nitaachia video mbili hivi karibuni na
hizo video nimefanya zote na Adam Juma.
Video ya Pesa ipo tayari na namalizia kushoot
video ya Mapenzi pia kwahiyo muda wowote
nitaziachia.”
Kwa upande mwingine Kabasyer amesema kama
akitaka kurudi shule basi atasomea tu muziki
na utayarishaji.credit bongo5 |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment