 |
MSHAMBULIAJI Edin Dzeko amesaini Mkataba
wa miaka minne na mabingwa wa Ligi Kuu ya
England, Manchester City.
Mwanasioka huyo wa kimataifa wa Bosnia
ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter
juu ya kusaini kwake mkataba mpya akisema:
"Furaha na kujivuniaa kusaini mkataba wangu
mpya na Manchester City. Nipo hapa ambako
ni kwangu. Nimerefusha hadi 2018,".
Mpachika mabao huyo amefunga mara 65
katika mechi 156 alizoichezea klabu hiyo
tangu ajiunge nayo kutoka Wolfsburg mwaka
2011. Na mdadisiblog/,festosaimon |
KAMA BADO UJAJIUNGA NASI BONYEZA HAPA
0 comments:
Post a Comment