Wednesday, August 27, 2014
 |
Kama ikiwa ni kweli inaweza ikawa ni uhusiano
mwingine amabayo inahusu sanaa kutoka
kiwanda cha Bongo Movie na Bongo Fleva na
kuwa kwenye mastar wa Tanzania waliyo
kwenye uhusiano.
Kwa Tanzania ukimtoa Wema Sepetu na
Diamond watu wengine walio kwenye uhusiano
na kutangaza kabisa ni pamoja na Nuh
Mziwanda na Shilole ingawa pia zilishawahi
kutoka stori za Msami wa THT na Irene Uwoya
kuwa wapenzi.
Soudy Brown kapiga stori na meneja wa
Kajala ambaye alikua nae Kajala pamoja na
Quick Rocker hata wiki iliyopita Tanga,ambaye
nae kazungumza kinachoendelea katikati yao
hao watu wawili.
Kikubwa alichozungumza meneja wa Kajala ni
juu ya kazi mpya ya filamu ambayo
inategemewa kutoka siku si nyingi ambayo
inamhusisha Kajala na Quick Rocker,filamu
hiyo inaitwa Mbwa Mwitu. |
Source millardayo BONYEZA HAPA KUHUNGANA NA FAMILIA YA HABARI ILI UPATE HABARI KIRAHISI PUNDE ZITUFIKIAPO:
0 comments:
Post a Comment