Wednesday, August 27, 2014
 |
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya FC
Barcelona na Chelsea Samuel Eto’o
amekamilisha usajili wa kujiunga na Klabu ya
Everton.
Eto’o ambaye alikuwa akikaribia kujiunga na
liverpool amejiunga na Everton na kusaini
mkataba wa kuitumikia klabu hiyo kwa miaka
miwili.
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Cameroon
ameripotiwa kusononeshwa na uhamisho wake
kwenda Liverpool kufeli wakati akiwa tayari
ameshafanya mpka vipimo vya afya.
Eto’o anatarajiwa kuanza kuichezea Everton
wikiendi hii kwa mchezo dhidi ya Chelsea
ambayo aliitumikia msimu uliopita. |
KAMA BADO UJAJIUNGA NASI BOFYA HAPA ILI UPATE HABARI ZA KIMICHEZO KIRAHISI ZAID
0 comments:
Post a Comment