Samuel Eto’o anatarajia
kutua leo hii na kufanya vipimo
kabla ya kumalizia usajili
wake na Everton.
Imeelezwa mazungumzo na
kila kitu kimeshakamilika
ili Eto’o atue Everton.
Lakini taarifa nyingine
zimeeleza, Everton imemtaka
Eto’o kupunguza kiwango cha
mshara.
Mshahara wake akiwa Chelsea
msimu uliopita ulikuwa ni
pauni 130,000 kwa wiki. |
0 comments:
Post a Comment