Thursday, August 21, 2014
 |
NAHODHA wa Arsenal, Mikel Arteta atakosa
mechi mbili zijazo za klabu yake baada ya
kuumia kifundo cha mguu katika mchezo wa
kwanza wa mchujo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya
dhidi ya Besiktas.
Nyota huyo wa Arsenal alitolewa nje dakika ya
50 kwenye Uwanja wa Olympic Ataturk baada
ya kuumizwa na mshambuliaji wa zamani wa
Chelsea, Demba Ba.
Arsenal pia itamkosa nyota wake mwingine,
Aaron Ramsey katika mchezo wa marudiano na
timu hiyo ya Uturuki, baada ya kuonyeshwa
kadi ya pili ya nano kipindi cha kwanza dhidi
ya Beskitas. Na mdadisiblog/festosaimon |
BONYEZA HAPA KUHUNGANA NASI
0 comments:
Post a Comment