Thursday, August 21, 2014
 |
Liverpool imeanza mipango
ya kumnasa Mario Balotelli
kutoka AC Milan.
Kocha wa Liverpool, Brendan Rogders anataka
kumnsa mshambuliaji huyo kwa mkopo
kuyoka Milan.
Awali kocha huyo alisema
hawana mpango wa kumsajili
Balotelli.
Hata hivyo imeelezwa AC
Milan wangependa suala hilo
liwe biashara ya ‘cash’ na
si mkopo. Na mdadisiblog/festosaimon |
BONYEZA HAPA USOME HABARI ZINGINE
0 comments:
Post a Comment