 |
Fundi: Angel Di
Maria aliichezea
Real Madrid
dhidi ya
Atletico Madrid
katika mechi
ya Super Cup
MANCHESTER
United
wanakaribia
kukamilisha
usajili ghali wa
Muargentina,
Angel Di Maria
kwa paundi
milioni 60.
Uhamisho huo
ukikamilika
utavunja rekodi
ya klabu hiyo
katika usajili.
United
wamekuwa
wakifuatilia dili
la nyota huyo
wa Real Madrid
kwa muda
mrefu na
inafahamika
kuwa wametoa
ofa ya
mshahara wa
paundi laki
mbili kwa wiki.
kwa sasa
inafahamika
kuwa Di Maria
imewaambia
United kuwa
atakuja Old
Trafford na sasa
klabu hiyo ipo
katika
mazungumzo ya
kukubaliana
ada ya
uhamisho na
Real madrid.
Kiwango cha
juu: Di Maria
anatarajia
kujiunga na
Manchester
United kwa ada
ya uhamisho ya
paundi milioni
60 na mshahara
wa paundi laki
mbili kwa wiki.
Kifaa cha
ukweli: Gary
Neville
anaamini kuwa
Di Maria ndio
aina ya
wachezaji
wanaotakiwa
kusajiliwa na
Manchester
United. Na mdadisiblog/festosaimon |
Ingia hapa kusoma habari zngine>>>> BONYA HAPA
0 comments:
Post a Comment