Habari wana wadau…!!! Huu ni
mkasa wa kweli kabisa na nipo
njia panda mpaka sahivi sijui cha
kufanya. Nipo kwenye mahusiano
na mtoto mkali kweli wa kichaga
na tunapendana sana, tumekuwa
na mipango na future nzuri tu.
Tumevumiliana kwenye shida na
raha japo yeye bado anasoma na
yupo mwaka wa mwisho. Yeye
anakaa Arusha ila anasoma hapa
Dar kwenye chuo kimoja. Sasa
chuo kilipofungwa si akaenda likizo
kwao na likizo hiyo ikaambata na
field ya muda mrefu akaniacha
hapa dar…!!
Bwana weeeh kama ilivyo kawaida
kiasili wanaume wengi ila sio wote
tamaa ikaja nilikutana na demu
mmoja nilikua nakaa nae kitaa na
alikua jirani yangu kipindi iko
nakaa home kwa wazazi nayeye pia
alikua ameshahama kwao
anajitegemea so wazazi wake na
wangu wanafahamiana vizuri wana
urafiki wa kawaida tu.
Basi dem sikumtongoza ila
tulibadilishana namba za simu
tukawa tunawasiliana dem
nikilmkaribisha getho anakuja.
Alinipa historia ya maisha yake
baada ya kupotezana kwa miaka
mingi alikua na mtoto mmoja wa
kike ila alikua hajaolewa bwana
ake baada ya kumpa mimba na
mtoto akazaliwa akazuga zuga
kama kawaida akakimbia na
kumuacha ila hela ya matumizi ya
mtoto wake anapeleka kama
kawaida kila mwezi.
Tukawa marafiki anakuja getho na
mm naenda kwake mara moja
moja… sikutaka kumtongoza
nilitaka siku akija getho nipige tu
coz sometime tulikuwa tuna
kunywa whisky, wine akiwa
anakuja getho. Kuna siku
nikalazimisha nikaishia kula
mate…..!! siku zilivyokwenda
nikamuomba game hapo
sijamtongoza wala kumwambia
nakupenda akawa staki nataka
nikaona anazingua ngoja niachane
nae nikawa nampotezea sasa ila
kila siku lazima apige simu na
kutuma sms sometime najibu ila
sometime napotezea….!!
Kuna siku akakasirika kwann
siimjibu sms zake wala kupokea
simu yake nikamwambia nipo tite
sana na kazi akasema atafuta
namba yangu mimi nikamwambia
asifute ila anivumilie tu. Basi
bwana siku, miezi ikapita
nimeshaanza hata kumsahau ilikua
ijumaaa mida ya saa 12 jioni
mchepuko ukapiga simu upo wapi
nikamwambia nipo getho
akanambia napitia hapo nakuja.!!
moyoni niksema leo lazima
nikumalize ikishindikana leo basi
naaachana kabisa na wewe.
Nikaenda kuoga fast nikaandaa
kondom za kutosha na nikapika
chakula changu pale nikijiandaaa
kumgegeda uyu kiumbe.
Niliposhiba vizuri mtoto akaja siku
hiyo hata sikupata tabu
nilimshughulikia vya kutosha na
alifurahi basi ikawa ndo mchezo
wetu na tukakubaliana tukapime
na tulivyopima tukajikuta tukawa
fresh yani ikawa kama dozi
kumbuka sijawahi kumwambia
nakupenda.
Basi kuna siku akaniuliza hivi
unanichezea au unanipenda
nikamjibu kwanza nina mpenzi
yupo nje ya dar anarudi mwezi wa
tisa ukae ukijua hilo nikamwambia
tutaendelea hivi hivi akija itakua
basi maana nay eye bwana ake wa
zamani alikua anamsumbua so
nikahisi pia watarudiana tu.
Muda ukazidi kwenda nikawa
nakula mzigo navyotaka safari hii
nikawa naenda kwakwe pale
kwangu nikamwambia haiwezekani
kuja tena maana kuna mtu
anafahamiana na mtoto wa
kichaga so ataharibu mambo.
Ilileta utata ila akaelewa kwa utata
sana na vitisho juu so nikawa
naenda tu kwakwe kula mzigo na
kusepa..!!
Basi mambo yakawa mambo Yule
mchepuko akanambia ana mimba
tukaenda kupima kweli alikua ana
mimba ya mwezi mmoja akawa
anataka kutoa mm nikamwambia
asitoe nimeukubali yeye akasema
sawa hataitoa hii mimba iwapo tu
nikubali niende kwa wazazi wake
nikajitambulishe moyoni nikasema
labda ardhi ipasuke ndo naweza
kwenda..
Nikamwambia si unakumbuka
lakini nina mtu inawezekana kweli
mm kufanya hivyo nikamwambia
lea mimba itakua siri baada ya
mwaka mmoja kila kitu kitajulikana
na kitakuwa wazi kwa kila mtu na
mm nitakupa ushirikiano wa
kutosha kabisa..
Basi akakataaa akanitishia kutoa
nikambembeleza wapi mwsiho wa
siku nikamwambia uamuzi ni wako
sasa ila siwezi muacha mchaga
wangu ila nipo tayari kumkubali
mtoto yeye akasema kama staki
kwenda kwao anatoa nikamjibu
utakua uamuzi wako sio wangu…
sasa mchaga wangu anakaribia
kuja na mchepuko umenambia
umekubali mawazo yangu kuwa
atafanya siri kwa mwaka mmoja
ila sasa simwamini nahisi atakuja
kuniharibia makusudi.. naomba
ushauri hapo wadau nifanyaje |
0 comments:
Post a Comment