Piga bao, vita mkwanja;
Mshambuliaji mpya wa Chelsea
Diego Costa aliyenunuliwa kwa
Pauni Milioni 32 kutoka Atletico
Madrid akitoa fedha kwa mashine
za benki (ATM) muda mfupi baada
ya kuifungia Chelsea katika ushindi
wa 2-0 jana dhidi ya Leicester
katika Ligi Kuu ya Englans. Diego
amefunga mechi zote mbili za
awali za Chelsea.
Mwanzo mzuri: Costa akishangilia bao lake la jana dhidi ya Leicester Uwanja wa Stamford Bridge dakika ya 62
0 comments:
Post a Comment