Polisi wa usalama wa barabarani wakiwa eneo.la tukio
Mashuhuda wakishuhudia ajali hiyo
GARI dogo lililopata ajali leo mchana lilinaswa na mtandao huu baada ya kupinduka katika Barabara ya Kilwa eneo la Ufundi , jijini Dar es Salaam ambako dereva wake (jina halikujulikana ) alinusurika isipokuwa abiria wake (ambaye naye jina halikujulikana ) alipata majeraha kidogo .
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment