AMINA MAIGE ambaye alikuwa bosi wa hausigeli Yusta Lucas (20 ) wa jijini Dar es Salaam, atafikishwa mahakamani wakati wowote kwa tuhuma za kumng ’ata sehemu mbalimbali za mwili kwa miaka kadhaa mfanyakazi wake huyo na kusababisha kulazwa hospitalini Mwananyamala . Hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini.
Posted via Blogaway
usisahau kuacha maoni yako apo chini
ReplyDelete