BONDIA mkongwe nchini , Iraki Hudu amefariki dunia leo asubuhi akiwa katika Hospitali ya Hindu Mandal illiyopo maeneo ya Posta, Dar alipokuwa akitibiwa. Msiba upo nyumbani kwake Buguruni. Marehemu Hudu anatarajiwa kuzikwa kesho ( Jumamosi) Juni 14 , 2014 saa saba mchana
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment