Friday, June 13, 2014

BREAKING NEWS;Mwimbaji maharufu wa nyimbo za injili ahukumiwa kwenda jela

Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu, Happy Kamili.Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu, Happy Kamili amehukumiwa kifungo cha Miezi mitatu jela kwa kosa la Kugonga Gari iliyokuwa nyuma yake wakati alipokuwa akiirudisha nyuma Gari yake mwezi wa kwanza mwaka huu.Taarifa Kamili inakuja!atFriday, June 13, 2014


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment