Wednesday, June 11, 2014

Bosi aliyekuwa ana mng'ata hause girl wake afikishwa kortini

Yusta akitibiwa katika hospitali ya mwananyamala
Yusta akiwa hospital ya mwananyamala alipotembelewa na mwandishi wetu

AMINA MAIGE ambaye alikuwa bosi wa hausigeli Yusta Lucas (20 ) wa jijini Dar es Salaam, atafikishwa mahakamani wakati wowote kwa tuhuma za kumng ’ata sehemu mbalimbali za mwili kwa miaka kadhaa mfanyakazi wake huyo na kusababisha kulazwa hospitalini Mwananyamala . Hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini.


Posted via Blogaway

1 comment: