Msanii wa kizazi kipya Linah sanga amefunguka juu ya mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Nagari kombo kuwa ni mchumba wake.
Linah sanga amesema tayari wameshatambulishana kwa wazazi na sasa kinachofuata ni ndoa tu. Nagari kombo ni yule kijana aliyepata umarufu katika mechi ya Brazil na Taifa stars ambapo aliingia uwanjani wakati mechi inaendelea na kwenda kumkumbatia mchezaji wa Brazil Ricardo Kaka.
Posted by festo saimon
0 comments:
Post a Comment