Mwanzo mzuri wa James wilson apo jana aliifungia Man unitend magoli mawili katika mechi yake ya kwanza usiku wa jana.
Man u wamemaliza mechi za old traford kwa kushinda mabao 3-1 dhidi ya hull city usiku wa jana.
Kocha mkuu wa muda Ryan Giggs katika mchezo wa leo aliamua kuwapa nafasi vijana Tom lawrence na James wilson.
Wilson mwenye umri wa miaka 18 aliwaonesha kuwa anakipaji baada ya kuamsha mashabiki wa Man U dakika ya 31 na goli lake la pili dakika ya 61 kabla ya mkongwe Van persie kufunga goli la tatu dakika ya 86
Goli la kufutia machozi lilifungwa na Fryatt dakika ya 63
Posted by festo saimon
0 comments:
Post a Comment