Wednesday, May 07, 2014

Mwinyi kazimoto atau kuiongeza nguvu Taifa star.

Kiungo mshambuliaji wa Al markiya ya Qutar Mwinyi Kazimoto amewasili nchini kujiunga na kikosi cha taifa stars kinachojiandaa na mechi ya michuano ya Africa dhidi ya zimbabwe
Kazimoto aliyewai kuichezea timu ya simba yenye makao yake msimbazi jijin Dar es salaam. Aliwasili juzi akitokea qutar alitegemea kusafiri jana kuelekea Mbeya ambapo ndipo timu ya Taifa stars imeweka kambi yake uko tukuyu chini ya kocha yake mpya Mart nooij kujiandaa na mechi iyo

Posted by festo saimon

Posted by festo saimon


Posted by festo saimon

0 comments:

Post a Comment