Wednesday, August 20, 2014

MWANADADA FUNMI AJIACHIA ILE MBYA SIKU YA BIRTHDAY YAKE…CHEKI PICHA HIZI AKIYAKATA MAYENU…!!!

Jina lake kamili ni Funmi Iyanda , mwandishi na mtangazi wa TV kutoka Nigeria...ana host kipidi cha New Dawn with Funmi. .Aliwahikutajwa na jarida la forbes kama Forbes 20 Youngest Power Women in Africa, 2011…cheki picha hizi akiselebuka na ma friend..kwenye siku yake ya kuzaliwa!...

MIZIGO KAMA HII NDIO HUWA INANIFANYA MIMI NISHINDE KUTWA NZIMA HUKO INSTAGRAM

...

HAYA NDO MATOKEO YA MECHI YA ARSENAL VS BESKITAS,UWANJA WA ATARARK

ARSENAL imejiweka katika mazingira mazuri ya kuvuka hatua ya mchujo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana na wenyeji Beskitas, Uwanja wa Ataturk. The Gunnes walimpoteza nyota wao, Aaron Ramsey aliyeonyeshwa kadi ya pili ya njano na kuwa nyekundu dakika ya 80 baada ya kucheza rafu. Mkali mpya: Demba Ba (kulia) aliyejiunga na Besiktas kwa Pauni Milioni 4.7 kutoka Chelsea msimu huu leo alikuwa mwiba mbele ya mabeki...

Hatimaye Man United wakamilisha usajili mwingine – huyu ndio mchezaji wao mpya

Baada ya usajili wa Ander Herrera na Luke Shaw, klabu ya Manchester United leo hii imekamisha usajili wa mchezaji mwingine. Marcos Rojo, beki wa kiargentina aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Sporting Lisbon amethibitishwa rasmi kujiunga na kikosi cha Louis Van gaal. Rojo ambaye alichaguliwa katika kikosi bora cha kombe la dunia, amejiunga na United kwa ada ya uhamisho wa £16 pamoja na Luis Nani kwenda Sporting kwa mkopo. Manchester United wanaripotiwa...

Tuesday, August 19, 2014

USHAURI WENU TAFADHARI… NIKIMALIZA CHUO NATAKA KUWA MODEL…VIPI NAFAA?...TAZAMA PICHA ZANGU HIZI!!!! COMMENT KISTAHA.. ASANTE

 BONYEZA HAPA KUTOA COMENT YAKO&nbs...

PICHAZ: ILA TUACHE UTANI MENINAH ANA MLIMA WA HATARI!!! ONLY MEN....CHEKI PICHA HIZI

...

DUH!! NINI TENA HUYU JAMAA… MCHANA KWEUPE TENA KWENYE MHADHARA WA KISIASA…JICHO KWENYE MLIMA WA MDADA?!!!

...

ALI KIBA AELEZEA ALICHOCHUKIZWA NA DIAMOND

Mwanamuziki wa Bongo Flava, Ali Kiba amefunguka kuhusu mambo yaliyomkwaza kutoka kwa Diamond miaka michache iliyopita baada ya mkali huyo kutoka na wimbo wa ‘Kamwambie’ uliogeuka kuwa wimbo wa taifa wa Bongo Flava kwa muda. Akiongea na kipindi cha Mkasi, Ali Kiba ameeleza kuwa yeye ndiye mtu aliyepitisha ombi la Diamond kurekodi katika studio za SharoBaro kwa kuwa wakati huo alikuwa mdau mkubwa katika uongozi wa studio hizo lakini matokeo yake...

Msg 3 nimekutana nazo Whatsapp! Lazma ucheke

Whatsapp ni sehemu nyingine kubwa inayotumika kama mawasiliano na mamilioni ya watu duniani, sehemu ambayo inakuruhusu kumtumia mwenzio video, picha, sauti na mengine. ...

DUH, BASIUNAAMBIWA HIZI NDO PICHA TATA ZA DRAKE AKIWA NA NICK MINAJ, FULL MAJANGA. JIONEE

Nicki Minaj and Drake have famously said they are just friends and nothing can happen between them because they have a 'brother/sister' relationship. Well, if Nicki continues this way, Drake might just stop seeing her as a 'sister'. See the way he's concentrating on her butt...lol Nicki Minaj shared these pics from her Anaconda video which will drop on Wednesday. ...