Wednesday, August 20, 2014
 |
Jina lake kamili ni Funmi Iyanda , mwandishi na
mtangazi wa TV kutoka Nigeria...ana host kipidi
cha New Dawn with Funmi. .Aliwahikutajwa
na jarida la forbes kama Forbes 20 Youngest
Power Women in Africa, 2011…cheki picha hizi
akiselebuka na ma friend..kwenye siku yake ya
kuzaliwa!!!! |
0 comments:
Post a Comment