Wednesday, October 08, 2014
 |
| MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya
nchini, Khalid Mohammed ‘TID Mnyama’
amesema, yeye ni msanii wa kimataifa tangu
siku nyingi ingawa amekuwa hapewi sapoti
anayostahili kupata.
Akizunguza jijini Dar es Salaam, muimbaji huyo
ambaye hivi karibuni alirekodi wimbo na msanii
wa Afrika Kusini, Tumi, amesema kile
wanachokifanya wasanii wapya wanaotaka
kwenda kimataifa kwa sasa, yeye alikifanya
miaka mingi iliyopita.
Unajua kama kufanya muziki
kimataifa mimi tayari nilishaenda
zamani sana, maana nikikumbuka
video zangu nimeshafanya
mahojiano na MTV Base, Channel O
na pia nimefanya kazi na wasanii
kutoka Nigeria na Afrika
Kusini |
0 comments:
Post a Comment