| By Aidan Charlie Seif
Mechi saba tayari zimechezwa
na kila timu tukielekea katika
mechi za kimataifa, ebu
tuangalia nin nani amekuwa
mchezaji bora wa ligi kuu ya
England mpaka kufikia hatua
hii.
Diego Costa? Sio kwangu
mimi. Kura yangu inaenda kwa
muargentina Angel di Maria.
Ndio ni kweli Costa amekuwa
na mwanzo mzuri, lakini
amekuja na kuikuta timu
ambayo ilitakiwa kushinda taji
la ligi msimu uliopita – kama
wasingepoteza zile points
mwishoni mwa ligi dhidi ya
Norwich, Sunderland, Crystal
Palace na Aston Villa. Costa
amekuja kuikuta timu iliyotulia
na kupangwa vizuri, na sio
klabu iliyo kwenye anguko
baada ya kuwa na msimu
mbaya. |
0 comments:
Post a Comment