Thursday, October 23, 2014
|
Msanii Mike Tee anaumaliza mwaka vibaya baada
ya leo kuvamiwa na watu wenye silaha na
kumpora mali zake zenye thamani kibao, Mike Tee
ameandika kwenye account yake ya Facebook
maneno yafuatayo:
“Leo hii asubuhi majira ya saa 05:30 nikiwa
naelekea ofisini , nimevamiwa na watu watano
wenye mapanga wakiwa na gari aina RAV4 ya
silver no. T280AZQ wamechukua laptop yangu
MacPro, External HDD 4, Headphones za Sony na
Modem .
Nnachoshukuru nimepona ila nnachoomba
atakayeiona gari hii popote atutaarifu kwa
number +255754310202 / na ntampatia cash
300,000 then ntadeal nao mwenyewe” |
0 comments:
Post a Comment