Siku chache baada ya kushindwa kupata
matokeo chanya katika mchezo wao wa pili wa
ligi ya mabingwa wa ulaya dhidi ya klabu ya
AS Roma, mabingwa watetezi wa ligi kuu ya
England Manchester City leo walisafiri mpaka
Villa Park kwenda kuchuana na Aston Villa.
Mchezo huo uliokuwa wa kasi umemalizika hivi
karibuni huku City wakifanikiwa kuwasogolea
Chelsea kwenye msimamo wa ligi kuu ya
Barclays.
Huku zikiwa zimebakia dakika 10 mchezo
kumalizika Yaya Toure aliiandikia City goli la
kwanza kabla ya Sergio Aguero kuihakikishia
ushindi timu ya Manuel Pellegrini kwa goli zuri
kabisa alilofunga katika dakika ya 88.
Aston Villa inayofundishwa na Paul Lambert
akisaidiwa na nahodha wa zamani wa Man
United, Roy Keane, walijitahidi kwa kila hali
kujaribu kupata matokeo mazuri dhidi ya
mabingwa watetezi lakini bahati haikuwa yao,
na mpaka mwamuzi anamaliza mpira City
walikuwa wamewafunga nyumbani kwao kwa
magoli 2-0.
Timu zilizpangwa kama ifuatavyo:
Aston Villa: Guzan, Hutton, Senderos, Baker,
Cissokho, Cleverley, Westwood, Delph,
Richardson (Grealish 71), Weimann (Benteke
61), N’Zogbia (Bacuna 71)
Subs (not used): Clark, Bent, Sanchez, Given
Bookings: NONE
Goals: NONE
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Mangala,
Kolarov, Milner, Fernandinho (Lampard 56),
Toure, Silva (Navas 84), Dzeko (Fernando 64),
Aguero
Subs (not used): Sagna, Caballero, Jesus
Demichelis, Jovetic
Bookings: Kolarov
Goals: Toure (82), Aguero (88)
Referee: Chris Foy (Merseyside)
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/
football/article-2780485/Aston-Villa-0-2-
Manchester-City-Yaya-Toure-Sergio-Aguero-
earn-Manuel-Pellegrini-late-
win.html#ixzz3FCgc0CEd
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail
on Facebook |
0 comments:
Post a Comment