 |
| Mtandao wa GHAFLA wa Kenya umewaweka
ulingoni nyota wa Tanzania Diamond Platnumz
na Hussein Machozi kwa kupambanisha wimbo
wa ‘Mdogo Mdogo’ wa Platnumz, na wimbo
‘mpya’ wa Machozi ambao bado haujatoka wenye
jina hilo hilo ‘Mdogo Mdogo’.
“Is This Beef in the Making??” Ndivyo umeuliza
mtandao huo kwenye kichwa cha habari hiyo.
“Hussein Machozi has chucked another tune
dubbed Mdogo mdogo which surprisingly shares
the same name with Diamond’s Mdogo mdogo
barely 3 months after the latter dropped his. The
BIG QUESTION could this be a drive to prove
Diamond wrong? If you listen to this tune by
Hussein Machozi its crystal clear that it is a big
tune but do i say? “ Hivi ndivyo ilivyoandikwa na
mtandao huo.
GHAFLA wameongeza kuwa kuna tetesi kuwa
Hussein Machozi na Diamond hawapikiki chungu
kimoja.
Iskilize ‘Mdogo Mdogo’ ya Hussein Machozi
Diamond – Mdogo Mdogo |
KAMA BADO UJAJIUNGA NASI ILI KILA TUKIPATA HABARI ZIKUFIKIE KIRAHISI KWENYE FACEBOOK YAKO BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment