Thursday, October 09, 2014
 |
| Diamond Platnumz amemtaja Vanessa
Mdee kama muimbaji anayemkubali zaidi
na ambaye anaona atafika mbali
zaidi.Akiongea , Diamond amesema hata
jukwaani, Vanessa ni msanii anayejituma
sana.
“Unajua wasanii wa kike wote wa hapa
nyumbani ninawakubali ila namkubali
sana Vanessa. |
0 comments:
Post a Comment