Monday, September 22, 2014
 |
When the president wa wasafi classic meet his
first lady wema sepetu kila kitu seems to go as
planned and fans expectations huwa zipo
high.Diamond seems to be well atleast when
he is with Wema,and fans wa hawa celebrity
hapa bongo huwa siku zoke hukaa mkao wa
kula kusikilizia suprises zozote watakazotoka
nazo.Kama unakumbuka walivyorudiana mara
ya pili wakati haukupita waliweza ku-post on
I.G (instagram) some private moment wakiwa
pamoja,fans wengi hupenda hii couple.This is
known to be most popular celeb couple of all
time ambayo imeweza kutokea na ikitokea
kuwa mambo yameenda kushoto kidogo,the
news do tend to travel fast na huwa inatokea
mlipuko wa habari kuhusu wawili
hao when they do fall apart kitu ambacho ni
sawa na pale wanapoamua kurudiana, huwa ni
news ya wiki nzima hapa Bongo na kushangaza
zaidi ni east africa nzima huwa inaongelea hii
couple,hii inaongeza popularity kwao as
celebs na hivyo hata mtu mgeni aliyeingia
hapa TZ huwa yuko curious kuulizia about the
life of this two Celebz and we all know that
popularity means business these days.
Jina la Diamond Platmuz mbali ya kuwa
popular in music industry,limekuwa jina
ambalo vijana wengi hapa nchini wamekuwa
na mtu wakumuangalia na kila mtu kutaka
kuwa kama yeye,the way anavyo dress,anavyo
nyoa na hata pozz tu sawa na wema sepetu
kila mtu amekuwa anamu-admire kwa jinsi tu
alivyo especialy young ladies,unaweza kusema
wawili hawa ndio moja ya most influencial
couples wa hapa bongo,its like brad pit na
Jolie wa hapa Bongo.
They say Celeb couple huwa hawawezi kukaa
katika relation muda mrefu,this is one of the
reason Diamond and Wema ya ku-date ili
waweze kuwa-prove wrong watu wengi
wanaoamini huo msemo, mbali ya kuachana
na na kurudiana mara kwa mara wawili hawa
wamekuwa na drama zakutosha,as celebz they
always do ila kwa hawa inaoneana kama bado
mapenzi yao yapo pale pale no matter how
many times they break up,the record says
they are back together and its official now. |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment