Friday, September 12, 2014
 |
Inawezekana ni kufanana kwa melody au
namna ya uimbaji ambayo hufanya mahadhi
ya wimbo mmoja kwenda mwingine
kufanana,miongoni mwa nyimbo zilizotajwa
kuwa za mfumo huo ni wimbo wa Izzo B.
Izzo B wimbo wake ambao kaupa jina la
Walala Hoi inasemekana unafanana na wimbo
wa Migo na Drake unaoitwa Versace, |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment