Friday, September 05, 2014
 |
Rappa kutoka 88.1 Mwanza ambaye msimu wa
Serengeti Fiesta 2012 ulifanikiwa kumuwakia
na kuwa mshindi wa kwanza kwenye
mashindano ya Serengeti Super Nyota Young
Killer leo amehusishwa tukio la kutoa mahali
kimya kimya bila kumfahamisha mtu.
Mezani kwa Soudy Brown,Young Killer
ameulizwa kuhusu madai hayo ambayo
inasemekana mzazi wa msichana anayetajwa
kuishi nae Halimaty alimwambia Young Killer
kuwa kama asipotoa mahali atampiga ‘Allah
Badili’
Young Killer alipopigiwa na Soudy Brown
kadai yuko kwenye ndege anajiandaa kwenda
Musoma kwenye Serengeti Fiesta hivyo
ametakiwa kuzima simu na kuahidi atampigia
baadae simu Soudy Brown.source millardayo |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment