 |
Mshambuliaji wa kimataifa wa England na
Manchester United Danny Welbeck amefuata
mkumbo wa kundi la wachezaji walioihama
Man united wiki hii.
Baada ya Shinji Kagawa, leo hii imethibitishwa
rasmi Danny Welbeck amejiunha na klabu ya
Arsenal.
Welbeck ambaye alijiunga na United tangu
alipokuwa na miaka 7, amejiunga na Arsenal
kwa ada ya uhamisho wa £16m na akisaini
mkataba wa miaka minne.
Welbeck ameshaichezea Man united mechi
142 huku akifunga jumla ya mabao 29. |
BONYA HAPA KUHUNGANA NASI ILI UPATE HABARI KIRAHISI PUNDE ZITUFIKIAPO
0 comments:
Post a Comment