Saturday, August 30, 2014
 |
| Wakati watu wakizidi kusubiria tukio la
kihistoria kwenye sanaa ya Bongo fleva na
bongo movie, ndoa kati ya Diamond Platnumz
na Wema Sepetu kufunga ndoa, huko
Hollywood hiki ndicho kilichojiri. Ni baada ya
miaka tisa ya mahusiano hatimaye imekuwa,
huko hollywood weekend hii hii haya ndio
yaliyo-make headlines, ni harusi kati ya ma-
star wakubwa wawili Angeline Jolie na Brad
Pitt, wawili hawa walififanya harusi ndogo
iliyoalika wana ndugu tu wa karibu na marafiki,
harusi iliyofanyika katika mji wa Chateau
Miraval, Hii inakuwa ni ndoa ya pili kwa Brad
Pitt na ya tatu sasa kwa Angeline Jolie. |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment