Saturday, August 30, 2014
 |
| Msanii wa kike ambaye anazidi ku-make
headlines hasa kwa historia yake ya kila nyimbo
pale anapoi-release lazima ifanye vizuri,
maarufu kama Vanessa Mdee au Veemoney
finaly afunguka kuhusu maisha yake
yakimahusiano. Mtu kama Vanessa ambaye ni
maarufu kama ilivyo kwa wasanii wengi wa
bongo, upande wake wa pili hasa wa
kimahusiano umekuwa na utata, na kuzidi
kuwafanya mashabiki wengi wazidi kujiuliza ni
nani haswa anatoka na Vanessa mdee.
Akiwa anahojiwa hapa utamsikia mwenyewe
akiongelea rumors nyingi zilizowahi kusambaa
kuwa yeye anatoka na baadhi ya watu maarufu
na kufunguka kuwa, mara nyingi watu
wanakuwa wanadadisi vitu, hasa pale
wasipojuamwelekeo wako kwenye jambo fulani,
hivyo kumfanya kila aonekanaye naye kuwa na
ukaribu, kudhaniwa kuwa ndiye anayetoka
naye. Msikilize hapa vanesa akipigwa swali
lakizushi ndani ya studio za cocacola. |
Vibe
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment