Uzito wa majina yao umeongezeka kutokana na Mamilioni ya mashabiki kuwajua kupitia muziki wa kuimba na sio kurap ndio maana inakua stori ikitokea wamesikika wakirap hata kwa sekunde 15.
Wakali wote hawa ambao mwanzoni mwa maisha yao ya muziki walikua wanarap, kwa sasa nyimbo zao zipo kwenye Top 20 ya CloudsFM ambapo Mo Music ambae ni mwenyeji wa Mwanza yuko na single yake ya ‘basi nenda’ alafu Diamond yuko na ‘Mdogomdogo’
Bonyeza play kusikiliza PLAY HAPA
Source millardayo
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI NYINGINE
0 comments:
Post a Comment