Monday, August 11, 2014

Picha 50: Mbeya Ilivyotisha katika Kili Music Tour

Profesa Jay akimtambulisha mbunge wa Mbeya Mjini Mhe Sugu
Mashabiki wakimiminika kwa wingi katika viwanja vya New City Pub
DJ Mafuvu akihakikisha hakuna kinachoharibika
Mshindi wa tuzo ya wimbo bora wa reggae/ ragga Chibwa aliifungua Kili Music Tour Mbeya
Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu na Profesa Jay wakifuatilia show ya Weusi
Shilole akilishambulia Jukwaa
Rich Mavoko na Madansa wake wakilishambulia jukwaa
Wadau mbalimbali katika wakifuatilia Kili Music Tour
Mashabiki wakifurahia show
Shangwe ya kutosha kwa Izzo Bizness toka kwa mashabiki waliofurika uwanja wa New City Pub
Backstage: AY na DJ Arthur
Zamu ya AY na MwanaFA kufanya yao
Mtoto wa nyumbani Izzo Bizness akiuwakilisha mkoa wake
Zamu ya weusi kufanya yao
Zembwela na Dulla wakifanya amsha amsha
Backstage: Mkali kutoka Mbeya, Izzo Bizness

Mdadisi blog

 BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI NYINGINE 

0 comments:

Post a Comment