Saturday, August 23, 2014
 |
Anakwenda
Merseyside?
Mshambuliaji
wa zamani wa
Chelsea Samuel
Eto’o anaweza
kujiunga na
Liverpool.
MCAMEROON,
Samuel Eto’o
yuko tayari
kukamilisha
usajili wa ghafla
kujiunga na
Liverpool.
Mario Balotelli
aliwasili Merseyside
jana kujaribu
kukamilisha
uhamisho wa
paundi milioni
16 kujiunga
Anfield, lakini
kama dili
litashindikana,
nafasi yake
itachukuliwa na
Mcameroon.
Inafahamika
kuwa
mshambuliaji
huyo wa zamani
wa Chelsea
alipimwa afya
na Liverpool
akiwa mjini
Paris jana
ijumaa.
Eto’o mwenye
miaka 33
ambaye anaishi
mji mkuu wa
Ufaransa,
amekubali dili
la miezi 12
(mwaka mmoja)
kujiunga na
Liverpool na
anasubiri
kupanda ndege
kwenda kusaini
mkataba.
Eto’o aliripotiwa
kuvutiwa na
Everton kwa
siku chache
zilizopita, lakini
kigezo cha
kucheza ligi ya
mabingwa
kimemfanya
aichague
Liverpool.Na mdadisiblog/festosaimon |
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG HII ILA TUNAOMBA UJIUNGE NASI KWA KUBONYA HAPA
0 comments:
Post a Comment