 |
Wimbo huu Umeimbwa na
baadhi ya waigizaji sauti nchini
yani Oscar Petro maarufu kama
Oscar nyerere na Shaphii
Omary maarufu kama dr.mfyuzi
unaosisitiza Amani ya nchi yetu
Tanzania kwa kutumia sauti ya
hayati Baba wa Taifa na sauti ya
raisi wa awamu ya nne dr
Kikwete. Wimbo una mahadhi ya
kuhutubia lakini pia una chorus
iliyoimbwa na Ally Nipishe toka
THT.
Video ipo njiani inayotarajiwa
kutoka mwishoni mwa mwezi
huu wa nane 2014.BONYEZA APO CHINI KUDOWNLOAD |
>>›> BONYA HAPA KUDOWNLOAD <<<<<<‹<‹
0 comments:
Post a Comment