Mwimbaji wa ‘Ayee’ Davido wa Nigeria
amethibitisha kuwa mbali na kuwa mtoto wa
bilionea lakini muziki unamlipa kwa kiasi cha
kumuwezesha kumiliki private Jet yake.
Kama wewe unamfollow Davido kwenye
Instagram yake bila shaka utakuwa shahidi
kuwa ‘Skelewu’ hit maker anapiga show nyingi
sana sababu post zake nyingi huwa ni kuhusu
safari za show.
Weekend iliyopita alipost picha akiwa kwenye
private Jet hiyo kabla ya safari ya kuelekea
Togo kwenye show nyingine. |
0 comments:
Post a Comment