 |
Ukubwa wa majina yao unawafanya kila
inapoitwa leo kuzungumziwa kwenye vyombo
mbalimbali vya habari kuhusiana na uhusiano
wao wa kimapenzi huku stori nyingi zimekuwa
zikitoka zinazowahusu.
Wiki chache inasemekana uhusiano huu
haukuwa kwenye hali nzuri baada ya
mashabiki wa Wema kuanza kampeni ambayo
ilikua ikimtaka Diamond Platnumz amrejeshe
Wema aliyekua akicheza filamu kama zamani.
Mezani kwa Soudy Brown leo ni kuhusu isue
hii ambayo kwa sasa inasemekana Diamond na
Wema wameachana tena ingawa si mara ya
kwanza ila uhakika wa stori tunaungana na
Soudy Brown kumsikiliza Wema akizungumzia
hili.bonyeza play kusikiliza |
>>>>>>>>>> play hapa <<<<<<<<<<<<<<<<<\\\\
Crd millardayo
0 comments:
Post a Comment