Peter Msechu na Baba Levo ni
wasanii kutoka mkoa wa Kigoma
na wote wawili wana sifa ya kuwa
wachekeshaji sana. Wasanii wengi
wanajua kwamba ukipanda tour
bus na wawili hawa basi ni kama
unaangalia show ya comedy njia
nzima ya safari.
Peter Msechu amekuwa ana post
vichekesho mbalimbali, kutana na
hivi viwili kuhusiana na kazi yao
baada ya kukosa show. |
0 comments:
Post a Comment