Thursday, August 21, 2014
 |
KLABU ya Swansea City imekamilisha
uhamisho wa Pauni Milioni 8 wa Federico
Fernandez kutoka Napoli.
Beki huyo wa kati alikwenda kufanyiwa vipimo
vya afya wiki hii Wales na kusaini Mkataba wa
miaka minne, akiweka rekodi ya kuwa
mchezaji ghali zaidi wa nafasi za ulinzi
kusajiliwa na klabu za Wales.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25,
ambaye aliichezea Argentina katika Kombe la
Dunia, ataziba pengo la beki wa kati Chico
Flores aliyeondoka, kwa kucheza na Ashley
Williams. Na mdadisiblog/festosaimon |
0 comments:
Post a Comment