Saturday, August 30, 2014
 |
| Ni kawaida ya dada zetu hapa Tz,siyo wote
ila ni baadhi yao kujigonga kwa mtu yeyote
pale apatapo umaarufu,haijalishi alikuwa
handsome au mtu wa kawaida,ni pale tu
anapoanza kupata jina ndio unaona idadi
ya watu wanaongezeka si tu wadada yani
hadi idadi ya marafiki huongezeka pale
mtu apatapo umaarufu,ila kwa Diamond
Platnumz wamembatiza hadi jina na
kumuita sukari ya warembo,Jina hili
limetokana na jinsi wadada zetu
wanavyompenda msanii huyu tena ile zaidi
ya kimuziki.
Aliyempa jina la sukari ya warembo
hakukosea kabisa cause hivi sasa Diamond
Platnumz si yule wa zamani wa mbagala
tena ambaye kila mtu alikuwa
anamdharau,pale kabla hata hajatoka
kulinganisha na hivi sasa.
ni mfululizo wa wadada walioteyari kuuza
roho zao kupata attention kutoka kwa
mwanamuziki huyu,ila swali la kujiuliza ni
mapenzi ya kweli au ni umaarufu tu
alionao ndio kinachotengeneza sukari
hiyo,unaweza kusema labda ni zile
Benjamins(money) alizonazo ndio
zinaongeza utamu wa sukari
hiyo..well,nobody seem to know the
answer…ila mbali ya hayo yote mwisho wa
siku ni kukubali tu the guy anaweza.
Kati ya mwanamuziki anayeongoza kuwa na
ladies skendo basi huyu raisi wa wasafi
hawezi kusahaulika hata kwabahati
mbaya,cause for the past year tumeweza
kusikia that amedate na wadada kama
watatu hivi,mbali na rumors zile za hapa
na pale ambazo hazina uthibitisho kwamba
ni kweli au si za kweli,he has been on and
off to these ladies.
Ni Raisi wa wasafi,Diamond Platnumz
aliyeweza kujipatia umaarufu mkubwa
kutokana na kipaji chake cha kutoa hit
tracks nzuri zilizoteka nyoyo za mashabiki
wa kila rika na kila nchi hapa africa na nje
ya africa, kokote kule wasikiapo track kali
za mwanamuziki huyu,ni umaarufu
uliotokana na juhudi alizonazo pamoja na
kipaji chake mwenyewe ndicho
kilichopelekea kupata umaarufu huu ndani
ya muda mfupi tu. |
Credit vibe
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment