"Pepo ipo miguuni mwa mama
yako....usifanye mchezo na mama.
Hata wakifika followers wengi
kama wa Beyoncé. Mama ni
mama. Haina ubishi wala usupa
star. Nimefurahi kumkuta
@officiallulumichael akiwa
anampaka mama yake mafuta na
kumvalisha viatu. Mwenyezi
mungu akuongezee dogo. Kesho
massage" ….by @glammadam
INSTAGRAM |
0 comments:
Post a Comment