Wednesday, August 20, 2014
 |
KOCHA mpya wa Brazil, Carlos Dunga
amekibomoa kikosi cha timu hiyo
kilichovurunda Kombe la Dunia kwa kuwatema
wachezaji 13 na kuita wengine wapya.
Philippe Coutinho ni miongoni mwa ingizo
jipya la wachezaji baada ya Kombe la Dunia
baada ya Dunga kuvutiwa na kazi yake
akiichezea Liverpool, wakati Neymar aliyepona
majeruhi yake yaliyomfanya akose mechi mbili
za mwisho za Kombe la Dunia ameitwa pia.
Kikois cha wachezaji 22 kimetajwa jana kwa
ajili ya mechi mbili za kiradiki dhidi ya
Colombia na Ecuador. Na mdadisiblog,/festosaimon |
0 comments:
Post a Comment