Vijana wapya: Mshambuliaji mpya wa
Liverpool, Mtaliano Mario Balotelli akiwa na
mchezaji mwingine mpya wa klabu hiyo, Adam
Lallana jukwaani Uwanja wa Etihad wakati wa
mechi dhidi ya wenyeji, Manchester City.
Mwingine chini mbele ni gwiji wa klabu, Kenny
Dalglish. Man City imeshinda 3-1. |
0 comments:
Post a Comment